Uchafuzi- huru, mazao zaidi

Mimea Ya Ubora Wa Juu

Pata Mimea Yako

Maabara Ya Kisasa

Mimea Ya Millioni 7 / Mwaka

Wasiliana Nasi

Utaalamu Wa Kiufundi Na Kisayansi

Kilimo Cha Kisasa

Kituo Cha Kuzoesha Mazingira Mimea

Tayari Kwa Shamba

Fanya Agizo Lako

Mimea Ya Chungu Cha Mashimo Ambayo Imezoeshwa

Mazingira Kwa Ufanisi

Jifunze Zaidi
Kampuni ya kilimo cha kibayoteknolojia ya tissue culture inayozalisha na kusambaza mimea ya asili, bila magonja na yenye tija kumbwa; kutoa msaada wa kiufundi shambani na ununuzi wa mazao.

Tumejumusiha mpango mzima wa ugavi kutoka kwa:
Maabara –> Mashamba –> Masoko

Wakulima chini yetu wanahakikishiwa upatikanaji wa masoko, kimataifa na ya ndani, na hifadhidata ya ujuzi na uzoefu ya zaidi ya miaka 20, ikiwa ni pamoja na wanasayansi & wataalam wa kilimo.

Uwezo mkubwa wa uzalishaji wa mimea milioni 7 kwa mwaka na eneo lililoanzishwa chini ya uzalishaji na ukuaji wa mimea ya kilimo cha tishu katika kilimo cha maua, mitidawa, viwanda vya miti na mapambo nchini Tanzania.

Utoaji wa msaada kwa wakulima 2,000+ katika maeneo zaidi ya 6 ya Tanzania na kuhudumia wadau wa kilimo wa kimataifa ikiwa ni pamoja na Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika ya utafiti, vyuo vikuu, wakulima wa kibiashara na wasindikaji.

Mimea ya Kilimo cha Tishu

Tunawezesha wakulima kupata mimea ya kilimo cha tishu kwa wepesi, kwa njia ya kuamika na uhakika.

Mimea inayozalishwa katika maabara yetu na kusambazwa kutoka kwa mabanda ya kukuzia, ni bora zaidi kuliko mimea ya kawaida.

Mazao Zaidi

Kwa matumizi sawa ya rasilimali, mimea yetu inaweza kutoa mazao zaidi kwa kila mmea, kwa ekari yaani ~ ongezeko la 40% katika mazao ya ndizi.

Bila Magonjwa

Mimea yetu imefanyiwa majaribio ya kisayansi na ni huru kutokana na virusi, wadudu na bakteria, hivyo kuondoa uwezekano wa kueneza magonjwa katika shamba lako.

Ulinganifu

Mfumo wetu imara wa kudhibiti ubora unahakikisha kwamba mimea ni nakala ya kweli ya mmea mkuu na ya kila mmoja, na kusababisha ufanisi wa sifa zinazohitajika za mazao ya mmea.

Hupatikana Wakati Wote Mwaka Mzima

Bila kujali hali ya hewa, tunaweza kuzalisha na kutoa mimea kulingana na ratiba iliyoafikiwa.

Aina Zainazotambulika Kimataifa

Tunatoa mimea ya aina ambazo nchi za kigeni zinanuia kuagiza.

Mimea ya Kiasili

Maumbile ya mimea yetu HAIJABADILISHWA (GMO). Ni mimea ya KIASILI na ya ubora wa Kiwango-A.

Uzalishaji wa mimea ulio na faida na endelevu kupitia maamuzi bora zaidi.

Zidisha aina ya mimea inayopendelewa na mteja kupitia teknolojia yetu ya kilimo cha tishu.

Wezesha upatikanaji wa huduma za maabara kwa uchunguzi wa kilimo – udongo, maji, na majaribio ya tishu za mmea.
 
Jifunze Zaidi

Usaidizi katika shughuli za uzalishaji wa mmea kuanzia kutayarisha shamba hadi uvunaji bora wa mazao, ikiwa ni pamoja na ziara za shambani.

Bidhaa

Kutekeleza agizo lako ndani ya muda unaofaa na kutoa mimea kabla ya msimu kuanza, ni wajibu wetu.

Agize Hapa